KISWAHILI : Habari
gani ?
ENGLISH : How are
you ?
KISWAHILI : Jina
lako nani ?
ENGLISH : What is
your name ?
KISWAHILI : Jina langu
ni MWL
JAPHET MASATU.
ENGLISH: My
name is MWL JAPHET
MASATU.
KISWAHILI :
Unatokea wapi ?
ENGLISH : Where are
you come from ?
KISWAHILI : Natokea
Uingereza.
ENGLISH : I
come from England.
KISWAHILI : Wewe ni
dereva teksi ?
ENGLISH : Are
you a taxi
driver ?
KISWAHILI : Nionyeshe
hotelini.
ENGLISH : Show
me a hotel.
KISWAHILI :Ni hotel
gani unataka ?
ENGLISH : Which
hotel do you
want ?
KISWAHILI : Nataka
hotel nzuri.
ENGLISH : I
want a good
hotel.
KISWAHILI : Ninaweza
kukuuliza ?
ENGLISH : Can
I ask you ?
TO BE CONTINUED --............................................................
No comments:
Post a Comment