KISWAHILI: Duka
hili ni la
nani ?
ENGLISH: Whose shop
is this ?
KISWAHILI :
Hili duka ni
la rafiki yangu.
ENGLISH :
This is
my friend”s shop.
KISWAHILI :
Lile duka ni
letu.
ENGLISH: That shop
is ours.
KISWAHILI
:Hili duka ni kubwa
lakini halina vitu
vingi.
ENGLISH
: This
shop is big
but has not
many things.
KISWAHILI :
Duka lako ni
zuri kuliko langu.
ENGLISH : Your shop
is good than
mine.
KISWAHILI :
Siyo kweli.
ENGLISH :
It is not
true.
KISWAHILI :
Pia la
kwako ni zuri.
ENGLISH :
Also yours is
very good.
KISWAHILI :
Lakini la kwako
ni zaidi.
ENGLISH
: But
yours is more.
KISWAHILI
: Juma
duka lako lina vitu
vizuri.
ENGLISH
: Juma
your shop has
good things.
KISWAHILI : Ni kweli
kuna vitu vizuri.
ENGLISH
: It
is true there are
good things.
KISWAHILI :
Ndiyo ana vitu
vizuri.
ENGLISH :
Yes, he has good things.
KISWAHILI :
Leo una
vitu vizuri ?
ENGLISH :
You have
good things today ?
KISWAHILI :
Ndiyo ninavyo.
ENGLISH :
Yes, I have.
KISWAHILI :
Hebu nionyeshe.
ENGLISH : Ok
, show
me.
KISWAHILI :
Ni kweli
leo una vitu
vizuri.
ENGLISH :
It is
true today you
have good things.
KISWAHILI : Kesho nitakuja
na rafiki yangu.
ENGLISH :
Tomorrow I will
come with my
friend.
KISWAHILI :
Kesho nitakupa zawadi.
ENGLISH :
Tomorrow I wili give
you a reward.
KISWAHILI :
Asante kwa ahadi
yako ya zawadi.
ENGLISH :
Thank you for
your promise of
a reward.
KISWAHILI :
Tutakutana kesho.
ENGLISH :
We will
meet tomorrow.
KISWAHILI :
Sawasawa.
ENGLISH
: Ok , vey good.
KISWAHILI
: Tutakutana saa
ngapi ?
ENGLISH
: When
will we meet ?
We will meet
at what time ?
KISWAHILI :
Wakati wowote tutakutana.
ENGLISH :
We will
meet at any
time . / At any
time we will
meet .
Makala hii
imeandaliwa na MWL
JAPHET MASATU , mwalimu wa
Masomo ya KIINGEREZA
na KISWAHILI, yupo
DAR ES SALAAM , TANZANIA. Kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali unakwama katika shughuli zako kwa sababu ya lugha hii ya KIINGEREZA !!wasiliana nami kwa
Mafunzo zaidi + 255 755
400 128 { WhatsApp } , + 255 716
924136 / + 255
785 957 077.
PENYE NIA , PANA NJIA, USIKATE TAMAA, UNAWEZA KUFANIKIWA
ASANTE MSOMAJI WANGU, MUNGU AKUBARIKI
No comments:
Post a Comment