English & Swahili
Language Learners Course
{A}. Good
morning Sir-----Habari za
asubuhi / Asubuhi njema bwana
Good morning Madam-----Habari za asubuhi bibi/ mwanamke.
{B} .Good afternoon
Madam -----Habari za Mchana / Mchana njema
bibi
Good
afternoon Neema -----Habari za
Mchana Neema
{C}.Good
evening teacher ------Habari za
jioni/ Jioni njema
Mwalimu
Good evening
student -----Habari za jioni
mwanafunzi
{D}.Good
Night doctor -------Usiku mwema
, Daktari
The same
to you nurse -----Na wewe
pia muuguzi
{E}. How
are you ? ------Hali yako ? Vipi
hali yako ?
Fine and
how are you
too ?------Sijambo , vipi na
wewe pia
Fine too / Quite
well ----- Sijambo
Fine sir/ madam
and you ? ----Njema
bwana/bibi vipi hali
yako nawe ?
{F}.How
are things ? -----Vipi mamo ?
Quit well -------Shwari sana
{ G}.How
is everything ? -----Vipi mambo ?
I am
allright ----- Nipo sawa
How is
home ? ----Vipi hali ya
nyumbani ?
It is
fine ----- Ni njema
Quite well ----Hawajambo
OTHER
GREETINGS / SALUTATIONS
{H }.How
is your sister /
brother ? ---Vipi hali ya
dada / Kaka yako
Hajambo ?
She /
He is
fine ----Hajambo.
{I}.
How are your
parents ? ---Vipi hali
ya wazazi wako ?
They are
fine ----- Hawajambo.
{ J}. How
are studies ? ----Unayaonaje masomo ?
It is
good ----- Ni mazuri
{K}. How
is your friend
doing ? ----Rafiki yako hajambo ?
Quiet well -----Shwari sana
TIMELESS GREETINGS
{L}. How
do you do ? -----Jambo ?
How
do you do ?-----Jambo.
{M}. Hi
peter! -----Jambo Peter
Hi
Asha !--------Jambo Asha
SAYING GOOBYE / BIDING
A BYE
JOHN : Bye ---- Kwa
heri
ASHA : Bye----Kwa
heri
MONICA : Bye
, bye ------- Kwa heri
JUMA : Bye , bye -------Kwa heri
AMOS :
See you
! -----Kwa heri
tutaonana.
AMINA : See
you later ! -----Kwa heri
tutaonana baadaye.
SALMA :
See you
! ---------Kwa heri
tutaonana.
PETER :
Alright , see you ! ----Sawa ,
tutaonana.
STELLA:
Say hello to
Amina ! ------Msalimie Amina !
CHRIS : Ok,
I will. -----Sawa ,nitamsalimia.
STEVEN :
Don”t forget to
say hello to
your brother ! -----Usisahau kumsalimia
kaka yako.
JAPHET:
Don”t worry, I will
. -------Bila shaka , nitamsalimia.
EVANS: So long ! -----Kutakia maisha
marefu !
MARIAMU
: So
long ! ------Kutakia maisha
marefu !
Written by
MWL JAPHET MASATU
---- + 255 716 924 136 / +255
755 400 128
WhatsApp napatikana
kwa + 255 755
400 128
No comments:
Post a Comment