BUSINESS MEN
AND WOMEN ENGLISH
COURSE----PART I
KISWAHILI : Karibu sana
Bwana
ENGLISH: Welcome Sir
KISWAHILI: Asante sana
mama
ENGLISH: Thank you
mother
KISWAHILI :
Unataka nini ?
ENGLISH: What do
you want ?
KISWAHILI :
Ninaangalia nitakachopenda.
ENGLISH: I
see which I
will like.
KISWAHILI : Tazama vizuri
kuna vitu vingi
sana.
ENGLISH: Look at very carefully there are
so many things.
KISWAHILI :Nipe lile / hili shati.
ENGLISH: Give me
that/ this shirt.
KISWAHILI : Bei gani
hii ? / ile ?
ENGLISH: How much
is this ?/
that ?
KISWAHILI : Ni shilingi
elfu kumi tu.
ENGLISH : It is
ten thousand only.
KISWAHILI : Hii ni
bei kubwa.
ENGLISH: This is
high price.
KISWAHILI : Wewe utanipa
bei gani ?
ENGLISH : How much
you will give
me ?
KISWAHILI : Naweza kutoa
shilingi elfu saba.
ENGLISH : I
can give you
seven thousand shillings.
KISWAHILI : Asante sana
nitakuwa nakuja dukani
kwako.
ENGLISH : Thank you
I will be
coming to your shop.
KISWAHILI: Kwa heri
Mungu akipenda tutaonana
kesho.
ENGLISH: Good bye
if God wishes
see you tomorrow.
KISWAHILI : Sawa asante.
ENGLISH: Ok thank you.
KISWAHILI : Kesho utakuja
saa ngapi ?
ENGLISH : At what
time you will
come tomorrow?
KISWAHILI : Wakati wowote
nitakuja.
ENGLISH: Any
time I will come.
KISWAHILI : Asante
sana kama utanisubiri.
ENGLISH : Thank you
if you will
wait for me.
KISWAHILI : Kesho njoo
pamoja na Yule rafiki
yako.
ENGLISH : Tomorrow
come with that
your friend.
KISWAHILI : Sawa nitakuja
nae.
ENGLISH : Ok I
will come with
him / her.
KISWAHILI : Sasa
nakwenda nyumbani.
ENGLISH : Now I
am going home /
I am going
home now.
KISWAHILI : Sawa tutakutana
nae.
ENGLISH : Ok we
will meet him /her tomorrow
KISWAHILI : Kesho
nitakwenda dukani.
ENGLISH : Tomorrow I
will go to
the shop.
KISWAHILI : Lile/ hili duka
ni zuri.
ENGLISH : That/
this shop is
good.
KISWAHILI : Dukani kwako
kuna sukari nzuri ?
ENGLISH : In
your shop there
is good sugar ?
KISWAHILI : Ndiyo ninayo
sukari nzuri sana .
ENGLISH : Yes
I have good
sugar.
KISWAHILI : Nataka nione
ile nguo
ENGLISH: I want
to see that
clothes.
KISWAHILI :
Ndiyo ni nguo
nzuri sana.
ENGLISH : Yes, it
is nice clothes.
KISWAHILI :
Unaiuza bei gani ?
ENGLISH : How much
you sell it ?
KISWAHILI :
Ninauza shilingi elfu
ishirini.
ENGLISH : I Sell
twenty thousand shillings.
KISWAHILI : Ninazo sillingi
elfu kumi tu.
ENGLISH : I have
ten thousand shillings
only.
KISWAHILI: Sawa
nipe hizo ulizonazo.
ENGLISH: Ok give
me which you
have.
KISWAHILI:
Nataka sabuni nzuri
ya kuogea.
ENGLISH : I want
a nice soap
for bath.
Where there
is a will, there
is a way---Palipo
na nia , pana njia.
Wasiliana
nami MWL JAPHET
MASATU, + 255 716 924 136
+255 755
400 128.
MUNGU AKUBARIKI MSOMAJI WANGU